Mimi ni Yanga babe!
Mpira unamuheshimu fundihii anga nyeupe watu tumepita anga zilizo mezwa na moshi wa matairi yaliyo chomwa iwe anga hii
anga gani hizi babu wawa kachanuliwa msamba kaishia kushika mmeokolewa na mahaba ya refa.
Wewe mshabiki sananani anacheza kimabavu zaidi ya simba
jamaa sema wana hamu ya kupata goli na angalau wapate point 3 ko wanajituma sana
Haiwezi kushindwaSimba itashindwa kwa shida sana
HaaaWho cares?
rafu mnaongoza kwa fauloWewe mshabiki sana
Hawa jamaa wanatuchezea rafu kila tukiwa na mpira
badala uloge unamuomba MUUMBAMungu ibariki Simba ishinde hii mechi
uwezo mdogo vp chama na huyo lwanga ni vichekesho vingineMzamiru leo hanifurahishi kwa kweli
wawa alishika ikawa kona uliona ileMugalu kachezewa foul refa weka penat
Hayakuhusuchama alishika ikawa kona uliona ile