VAR nakuona unaziona za chama tu ila mugalu kapombe wamechezewa foul huonichama alishika ikawa kona uliona ile
Hizi nguvu zinaenda pamoja manyanga pamoja na Mungu..hivyo Mungu atayasikia haya maombibadala uloge unamuomba MUUMBA
leo ndo nimeamini hadi walozi wanakuwa(ga)na hofu
Mungu wajaalie wasudani washinde mechi hii
Katoka kaingia Nyoni, katoka Bwalya kaingia Dilungauwezo mdogo vp chama na huyo lwanga ni vichekesho vingine
Done!Bwalya anatakiwa kutoka leo hayuko vizuri, aingie Dilunga akaongeze kasi pale mbele ama kahata, hata hivyo Mzamiru leo pia hajakaa sawa inge faa sana akaingia mkude.
Luis kila akigusa mpira watu 3 hadi 4 tayari wesha fika.
Daah Watanzania siwawezi, mpaka mtu kugusa mpira mara ngapi watu washahesabu tayari ha ha ha haTadeo lwanga hii foul ya nane anafanyiwa
Ikimpendeza hata droo tutamshukuru kwa wema wakeMungu ibariki Simba ishinde hii mechi
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ikimpendeza hata droo tutamshukuru kwa wema wake