Kijarida hiki wiki hii kimekuja na mpya mbili zinazoonyesha kumbe waislamu wanataka CUF ishinde.
1.Lipumba afunika msafara wa kikwete. Wanadai kuwa watu wengi hivi sasa wameelimika na wanahitaji mabadiliko ambapo hata hivyo wanaamini kuwa Lipumba kutokana na weledi wake anao uwezo wa mabadiliko.
2. Slaa atakwepaje usia wa POPE LEO XIII kwa maana eti pope huyo alitoa amri kwa wakatoliki kupiga kura kwa maslahi ya UKATOLIKI.

bora aachane na siasa aende kuwa imamu kule jang'ombe amtumikie akubarKijarida hiki wiki hii kimekuja na mpya mbili zinazoonyesha kumbe waislamu wanataka CUF ishinde.
1.Lipumba afunika msafara wa kikwete. Wanadai kuwa watu wengi hivi sasa wameelimika na wanahitaji mabadiliko ambapo hata hivyo wanaamini kuwa Lipumba kutokana na weledi wake anao uwezo wa mabadiliko.
2. Slaa atakwepaje usia wa POPE LEO XIII kwa maana eti pope huyo alitoa amri kwa wakatoliki kupiga kura kwa maslahi ya UKATOLIKI.
Gazeti la An Nur toleo la leo lina front page headline inayosomeka "Lipumba afunika msafara wa CCM."
Tatizo langu hapa halipo katika ukweli au la wa headline hiyo kutokana na hali halisi iliyojitokeza wakati wa uchukuaji wa fomu – tatizo langu ni kwamba vipi hili gazeti la dini ya Kiisilamu linajiingiza katika ushabiki wa kisiasa kwa upande wa CUF?
Nasema hivi kwa sababu sijawahi hata siku moja kuona gazeti hilo likiandika habari kuu za mbele ambazo ni positive kuhusu vyama vingine vya kisiasa isipokuwa za CUF tu. Inakuwaje hapa? Gazeti hilo haliwezi tu kuwa friendly kwa CUF bila sababu ya msingi.
Kweli hiyo tuhuma za siku zote kwamba CUF ni chama cha Kiisilamu ni za uzushi?
Gazeti la An Nur toleo la leo lina front page headline inayosomeka Lipumba afunika msafara wa CCM.
Tatizo langu hapa halipo katika ukweli au la wa headline hiyo kutokana na hali halisi iliyojitokeza wakati wa uchukuaji wa fomu tatizo langu ni kwamba vipi hili gazeti la dini ya Kiisilamu linajiingiza katika ushabiki wa kisiasa kwa upande wa CUF?
Nasema hivi kwa sababu sijawahi hata siku moja kuona gazeti hilo likiandika habari kuu za mbele ambazo ni positive kuhusu vyama vingine vya kisiasa isipokuwa za CUF tu. Inakuwaje hapa? Gazeti hilo haliwezi tu kuwa friendly kwa CUF bila sababu ya msingi.
Kweli hiyo tuhuma za siku zote kwamba CUF ni chama cha Kiisilamu ni za uzushi?
Weledi watakuomba source ya habari hizi!
Tatizo lilopo kwa watu wengi ni kwamba hawawezi kuitofautisha dini na vyombo hivi vya habari. Hata siku moja uislamu Tanzania haukuwahi kukitambulisha chombo hiki kama mali ya waislamu. Wamiliki nao wanayatafuta maslahi katika dunia hii. Chonde chonde liwekeni mbali gazeti hili na uislamu.mmiliki wake nani????????
kama ni CUF or potential member wa CUFkuandika hizo habari sio swala la udini ni mapenzi ya kichamai, maana hata siku moja sijaona UHURU or RAI or ... yakiandika mazuri ya upinzani zaidi ya CCM tu.
Tatizo lilopo kwa watu wengi ni kwamba hawawezi kuitofautisha dini na vyombo hivi vya habari. Hata siku moja uislamu Tanzania haukuwahi kukitambulisha chombo hiki kama mali ya waislamu. Wamiliki nao wanayatafuta maslahi katika dunia hii. Chonde chonde liwekeni mbali gazeti hili na uislamu.
:A S-danger::A S-danger:mbona umekuwa mkali sana mkuu???Wengine ni wakupuuzwa tu...mpuuzi!
:A S-danger::A S-danger:mbona umekuwa mkali sana mkuu???
Umerusha mawe Ikulu!
yawezekana ni kweli, lakini kumbuka huwezi kununua mafuta ya taa harafu ukabebea kwenye mfuko wa gunia