Mpuuzi ni wewe unayeamini kila ukisikiacho.Na upuuzi wako umechanganyika na chuki za uislamu ukawa wehu kabisa.
Habari za Alqaeda ni uwongo mwingi uliochanganywa na ukweli kidogo.
Dunia itafilisika kujadili vitu vya kijinga.Watu tuliodhani ni wasomi wanazidi kurudi katika ujinga.
Kenya nayo isijidai kulitukuza jina la Obama bure na kujitangaza,mwenyewe hana habari nao.Majuzi tu kawawekea ngumu viongozi wake kuingia nchini mwake.Obama hata azma ya kuja Kenya hana.
Ukiangalia hiyo habari yenyewe kwenye ABC ni usanii mtupu kama kifo cha Osama wa Abbottabad lakini mandondocha wa JF wameshakwenda mbali kama kwamba hilo tukio limetokea,na wala hawahoji limeanzaje.Almuradi ni undondocha tu...Hapa ndio magaidi wanaponishangaza badala ya kwenda kuwapiga askari wa marekani wao wanatafuta watoto,vibibi na watu ambao hawataweza kupambana nao. Sasa huyu bibi ndiye aliyetuma wae Navy SEALs wakamwue Osama?