Masulupwete JF-Expert Member Joined Feb 15, 2012 Posts 2,366 Reaction score 2,424 Jan 11, 2016 #1 Rais wa Chama cha Soka Somalia ameonyesha kuwa michezo si uhasama kwa kutoa mwaliko kwa Kikundi cha Wanamgambo cha Al-Shabaab kushiriki Ligi Kuu ya nchi hiyo. Big up sana! Chanzo: BBC Radio
Rais wa Chama cha Soka Somalia ameonyesha kuwa michezo si uhasama kwa kutoa mwaliko kwa Kikundi cha Wanamgambo cha Al-Shabaab kushiriki Ligi Kuu ya nchi hiyo. Big up sana! Chanzo: BBC Radio