joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: KDF wapo DRC kulinda amani wakati wameshindwa kulinda mipaka ya Kenya, hii ndio inaitwa " kupenda sifa zaidi ya uwezo wako"
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MY TAKE: KDF wapo DRC kulinda amani wakati wameshindwa kulinda mipaka ya Kenya, hii ndio inaitwa " kupenda sifa zaidi ya uwezo wako"
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
KDF wazee wa fursaYafaa mikakati mizito iwekwe kuwadhibiti hao Al Shabaabs!
Wasifikirie malipo tu.Wawe wazalendo wenye ari ya kweli katika mapambano.Wasifurahie kupewa vyeo na mishahara minono tu.Wakae wakijua wajibu wao ni upi!KDF wazee wa fursa
Wale SAwa na panya road,hawana uwezo wa kupambana bali kuviziaAl Shabab ni vidume mpaka kenya inawaogopa
Punguza ujuaji kidogoMapambano na magaidi ni magumu duniani kote hata marekani anakimbiaga sana , sioni hoja ya kufurahia kisa wameuliwa wakenya na Alshaabab, na kufurahia matatizo ya binadamu mwenzako ni watu wenye uwezo mdogo kiakili ndio hufanya hivo, hata wakenya wanaofurahia matatizo ya watanzania hua na akili ndogo pia.
Mapambano na magaidi ni magumu duniani kote hata marekani anakimbiaga sana , sioni hoja ya kufurahia kisa wameuliwa wakenya na Alshaabab, na kufurahia matatizo ya binadamu mwenzako ni watu wenye uwezo mdogo kiakili ndio hufanya hivo, hata wakenya wanaofurahia matatizo ya watanzania hua na akili ndogo pia.