Al Shabaab waendelea kuvuka mpaka na kuwaua Wakenya

Mapambano na magaidi ni magumu duniani kote hata marekani anakimbiaga sana , sioni hoja ya kufurahia kisa wameuliwa wakenya na Alshaabab, na kufurahia matatizo ya binadamu mwenzako ni watu wenye uwezo mdogo kiakili ndio hufanya hivo, hata wakenya wanaofurahia matatizo ya watanzania hua na akili ndogo pia.
 
Punguza ujuaji kidogo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 

Tanzania tumewaweza magaid! Au umesahau nikukumbushe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…