Al-Shabaab waendelea kuwa mfupa mgumu kwa serikali ya Kenya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Kitendo cha serikali ya Kenya kuwahamisha waalimu wote ambao sio wazawa/waisilamu kutoka kaunti za Mandera na Wajir na kaskazini mashariki mwa Kenya kutokana na kushindwa kuwahakikishia usalama wao kwasababu ya kulengwa na Alshabaab, ni dalili za wazi kwamba GoK imesalimu amri mbele ya Alshabaab, ikumbukwe kwamba lengo kubwa la magaidi sio kuiangusha serikali, au kuteka eneo la Kenya, bali ni kujenga hofu kwa wananchi na kuvuruga shughuli za kila siku za watu na serikali

======

Three people were killed after al Shabaab attacked a bus in Sarmani, Mandera County on Wednesday.

Five other passengers sustained injuries as scores fled the scene in fear for their lives.

The bus belonging to Moyale Raha company was from Mandera headed to Nairobi when the insurgents attacked.

The bus driver is among those who were injured.

al Shabaab has stepped up the pace of its attacks in Kenya since the New Year.

In January, three Americans were killed by al Shabaab during an attack on a military base in Manda, Lamu.

They include one U.S. military service member and two contractors; two other Americans who work for the U.S. Department of Defense were injured.

The Pentagon declined to provide further details on the attack.

However, a few days later, U.S. military deployed additional forces (about 50 troops) to Kenya to bolster security at the Manda airfield.

During the same month, 4 school children were killed in a gunfight between police and al Shabaab militants who attacked a telecommunications mast.

According to Mohamed Dubow Aden, Garissa County’s Red Cross coordinator, three of the dead children were from one family.

He said the attackers also wounded three other children.

On January 13, suspected al Shabaab militants shot dead three teachers and burned down a police station.

Further, a stray bullet wounded a child when the militants attacked Kamuthe primary school, in Garissa County.

Earlier this month, two road construction vehicles were burnt following an attack by suspected Al Shabaab militants at Milihoi on the Lamu-Garsen road.

Additional report from Reuters
 
Hapa mtatoboa kweli Bro...SGR hoyeee!
February 5, 2020
Kilosa, Tanzania

Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha

Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia reli ya mkoloni kwa miaka zaidi ya 10 ijayo.

Pia Reli mpya ya SGR itachukua takriban miaka 15 kumalizwa kujengwa hilo limebainishwa ktk eneo la reli ya kati lililokumbwa na mafuriko yasiyo ya kawaida wakati jopo la wahandisi na mkurugenzi mkuu walipokuwa wanajadili athari za mafuriko na changamoto za reli ya mkoloni na reli mpya ya SGR.

TRC inapoteza zaidi ya milioni 100 kwa siku kutokana na kusitisha safari reli ya kati. Na ili kukabiliana na mafuriko inabidi reli ya kati ihamishiwe mlimani na mlima huo unahitaji kuchongwa pia .

Uharibifu ktk eneo la mto Mkondoa ni mkubwa sana na ingawa eneo hilo la Gulwe Kilosa hakuna mvua lakini mvua kubwa zinazonyesha mikoa ya Iringa na Dodoma inaingiza kiasi kikubwa cha maji mto Mkondoa.

Source: TRC Reli TV
 
Mwasiti,TZ sio nchi ya kukurupuka Kama yenu,itachukua huo muda kwa sababu, nchi yetu ni kubwa,pi East Africa, TZ ndio yenye SGR,zingine ni mitungi ya busaa!
 
Back
Top Bottom