Al shabaab wavamia kituo cha polisi na kuuwa askari wanne Kenya

Kazwala mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
1,034
Reaction score
2,250
Itv inaripoti muda huu kuwa Al shabaab wamevamia kituo cha polisi nchini Kenya na kuuwa askari wanne kwa kutumia risasi, habari zinasema kuwa walikwenda hapo kwa ajili ya kutaka kumtoa mwenzao anaeshikiliwa hapo.

Mapambano bado yanaendelea na sasa kimetumwa kikosi cha reke kuongeza nguvu.....hali ni tete hivyo tuwaombee ndugu zetu.
 
ILA HUU UGAIDI HUU,,,,,HALAFU ZAHAMA LINAWAKUTA WENGINE?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…