Al Shabab display killed Kenyan Bodies...

Al Shabab display killed Kenyan Bodies...

Status
Not open for further replies.

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Alshabab display kenyan bodies.jpg

Al-Shabab militants display the bodies of dozens of kenyan troops in Somalia that were killed in a firefight this week.
 
Wakenya wamejitakia wenyewe kwa kufuata maelekezo ya mabeberu (marekani na washirika wake). wakenya walikuwa wanaishi vizuri na majirani hao(Somalia) pamoja na kuwa na vita kwa takriban miongo miwili,hii imetokana na kutafuta sifa toka kwa mabeberu hao, sasa kujinasua hawataweza tena. kazi kwao.
 
Mkuu mawazo yetu yamegongana pamoja....hii inaitwa simultaneous posts......tumerusha pamoja
 
Alshabab sympathiser or member ....provide the link...those aren't Kenyan bodies.:usa:
 
Duh, hii hatari. Yaani watoto wanaangalia miili ya watu kwa gulio la nguo.
Where is this world heading to?
 
I hate Somalians and the Al-shabab, tusiwape mwanya hao jamaa.
 
marekani ni noma kwa kuwaingiza wenzao chaka..........sasa mzigo umebaki kwa wakenya na bila msaada wowote mana wameshazidiwa.
 
Boflo, "thothi"? Au na wewe ni BILA-SABABU pia? Kwi kwi kwi kwiiii!
 
livefire there is a lot of hullabaloo here can you confirm whether this is KDF because this story we have it as AMISOM burundi soldiers
 
Last edited by a moderator:
this was a long time ago and those are Burundi soldiers ...KDF have never clashed with alshabaab without pushing them farther away...Every time farther and farther ...even if there were dead bodies of KDF ...they'd never access them.
 
Tulisema humu, hao US waliuawa huko wakaburuzwa "live" Mogadishu, wakakimbia, waameona hawa wacha wauane wenyewe kwa wenyewe, kwa tamaa zao na thamani ndogo sana viongozi wa Kenya wamenunuliwa kwenda kuuwa Wasomali, hawa Wasomali wanapolipiza kuuawa watu wanalalamika.

Ni nani alitangaza vita na mwenzake? hayo ndio matokeo ya vita, na bado.

Al Shabab walishasema hivi:

"Somalia militia al-Shabaab threatened revenge attacks against Kenya if the government does not withdraw its troops from the war-torn country."

Source: Kenya declares war on Al Shabaab | Openbook | Kenya

Hivi Kenya walifikiria wataingia wakaue, wapige mabomu kwa meli, ndege na helicopter, waue wanawake, watoto, wazee mpaka mbuzi na ng'ombe na wao wasiuliwe maana wenzao ni magogo yamekaa yanangoja kukatwa tu.
 
View attachment 57480

Al-Shabab militants display the bodies of dozens of kenyan troops in Somalia that were killed in a firefight this week.

Hao ndio Al Shabab (vijana), halafu silaha zote wameshachukuwa.

Tuliwaambia Wakenya, wanasiasa wamewaingiza mkenge kwa kuhongwa. Nasema na bado, tutaona mengi, walishindwa USA mtaweza nyinyi? mnakwenda kuuawa huko kama kuku. Walikuwa wameshalewa hao wamelala walipouawa.
 
Well said Mkuu...

ALSHABAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAB
 
Huko ni wapi??? Afmadow? Fafadun? ...Source? ?? Those are not Kenyans ....wacheni pang'ang'a
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom