John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Wanamgambo wa Al-Shabab wameshambulia vituo vya polisi na vituo vya ukaguzi katika Mji Mkuu wa Somalia, Mogadishu, mapema leo Jumatano Februari 16, 2022.
Imeelezwa kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine 16 wamejeruhiwa. Televisheni ya taifa imeripoti kuwa watu watano wamefariki katika tukio hilo wakiwemo watoto wawili.