Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Inabidi mKubali hao Jamaa wenye malnutrition mmewashindwa,hamkuwa mmejua mnaenda kupigana na nani,nadhani mlijua ni vibaka wa Nai.safi sana ata mm naunga mkono hoja, jeshi la wazee tz aka monduli boys litumwe somalia[emoji3][emoji3]
Wazee lkn historian yetu speak for itself, missions kibao na hatujapoteza hata moja. UG,Comoro DRC plus minors kibaosafi sana ata mm naunga mkono hoja, jeshi la wazee tz aka monduli boys litumwe somalia[emoji3][emoji3]
Unapick upuuzi ktalk unakuja kupost humu....punda😀
Image caption Hii si mara ya kwanza al shabab wanavamia kambi za jeshi la Kenya
Ripoti kutoka kusini mwa somali zinazema kambi ya wanajeshi wa Kenya imevamiwa viungani mwa mji wa Kulbiyow nchini Somalia.
Milipuko kadhaa iliripotiwa kusikika kutoka eneo hilo.
Inaarifiwa kuwa vikosi vya Kenya vimejibu vikali uvamizi huo.
Mapema mwaka huu, maafisa kadhaa wa Kenya waliuwawa na wanamgambo wa Al shabaab waliovamia kambi yao.
BBC SWAHILI
Ahha haah wanaweza kutunyooshea vidole sisiVITA YA UGAIDI NGUMU SANA...hivi wakianza ishambulia SGR itakuaje?
Na sasa hivi wameanza mchezo wa kutega mabomu njiani..sasa hyo reli watakuwa wanaikagua kila saa au hyo train wataiwekea detectors za mabomu..Ahha haah wanaweza kutunyooshea vidole sisi
hawakuwa magaidi achana na magaidi ww wanasumbua sana...Wazee lkn historian yetu speak for itself, missions kibao na hatujapoteza hata moja. UG,Comoro DRC plus minors kibao
Wape training Wasomali wenyewe wajilinde kwenye nchi yao.hawakuwa magaidi achana na magaidi ww wanasumbua sana...
Wazee lkn historian yetu speak for itself, missions kibao na hatujapoteza hata moja. UG,Comoro DRC plus minors kibao
nafikir mkuu hujaweza kutumia ubongo wako kufikir kwa undani zaid. suala la somalia c suala la mchezo kwanza pale ni suala la kiimani zaid hivyo ndan ya hao wanajesh wenu watz wamo wanaowakubal al shabab sasa unaona hapo ni kaz ndg??? halaf tambua kua ww unawaita magaid wenzako wanawaita ndo waislam wa kweli na ndio maana hata marekan ameshndwa anakuja kwa kustukiza anaondka kwa sbb anajua mzik wake.sasa ww jipendekeze uone mzk wake. na kwa taarifa tu al shabab wapo dunia nzima.hapa tz wapo pia al shabab japo c wasomali. kabla ya kuwapeleka hao jw somalia watakiwa kujua nn al shabab wanapigania usiwapeleke watoto wa wenzako kufa bureWazee lkn historian yetu speak for itself, missions kibao na hatujapoteza hata moja. UG,Comoro DRC plus minors kibao
Hatuwezi kupeleka jeshi letu huko maana hakuna maslahi yoyote Kwa taifa letu tzMko nyuma ya computer mnatype upuuzi na jeshi lenyu haijawaii karibia somalia, kama nyinyi mko imara ingieni somalia mpigane na mtu ameamua kufa aendee mbinguni tuone,jeshi la kupasua matofali