luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wadau kama kichwa cha habari kisemavyo. Nimekutana na hii scenario nikabigwa na bumbu wazi
Nilowahi kupiga simu huduma kwa wateja ALAF nikaulizia bei za bati zao nika note kisha nika andaa mahesabu yangu ya paa langu
Ikapita wiki 2 nikaenda pale kiwandani kwao nikiwa na nia ya kununua mzigo, kufika pale bati za Maxcover nikatajiwa bei tofauti na niliyo tajiwa kwenye simu na CS, nikauliza mbona bei ime shoot
Wale agents wakasemma ni kawaida bei hubadilika karibu kila mwezi
Hivi nikajiuliza ni sababu gan inayowapelekea bei zao kubadilika badilika ? Hasa bati za Max cover,, versatile na romantile ? Embu wadau kamaa mlishawahi kutana na case kama hii