Alafu tusipowaowa mnasema wanaume was sikuizi hawataki like.

Alafu tusipowaowa mnasema wanaume was sikuizi hawataki like.

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,669
684fcb855dbfcf631ed374a259a49f8e.jpg

Ona sasa kama huyu binti mbichiii.!!!!!Kutwa kutupia mapicha instagram na vichupi. Miaka inaenda wanakosa hata wa kuwaowa kutwa kupishana kwa waganga kututengenezea limbwata. Mwanaume gani mpumbavu wakuowa mwanamke wa namna kama hii?????
 
Kupanga ni kuchagua. Na wengine husema mambo yote ya dunia ni tamaa na ubatili.
 
Tunarudi kule kwa zamani.mwanamke anapost yuko na bikini kidume anapost kavaa kata kundu na vilevile magoti na mapaja yanaonekana kwa kuvaa suruari iliyotoboka.
 
Mkuu huyo mrembo ndio anaitwa nani vile? Embu nipe contacts zake, ananifaa sana kutangaza biashara yangu
 
this isn't cool jamanii...binti wa kiafrika jistiri...ya wazungu waachie wazungu.90% ya mwili wote nje sasa naimagine siku umekutana na kijana wa watu huko kakupenda kakupeleka kwao akutambulishe msra wadogo zake wanaoneshana picha huyu ndo shemeji na kichupi...mpk hapo wajomba zake wote wanajua tako lako likoje.. ndani una alama wapi na wapi..
aibu!!
 
Mimi mwenyewe huwa nashindwa kuwaelewa hawa wanaopiga picha uchi na kutuoia insta. Hivi huu ni ushamba au ujanja?
 
Back
Top Bottom