Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Hips dont lie
Si ndyo wale wanaitwa mme bwege.Wengine wanapenda kama hawa,msisemee mioyo ya watu
Haaaa. Unafanya biashara ya kuuza chupi mkuu?Mkuu huyo mrembo ndio anaitwa nani vile? Embu nipe contacts zake, ananifaa sana kutangaza biashara yangu
Mimi mwenyewe huwa nashindwa kuwaelewa hawa wanaopiga picha uchi na kutuoia insta. Hivi huu ni ushamba au ujanja?this isn't cool jamanii...binti wa kiafrika jistiri...ya wazungu waachie wazungu.90% ya mwili wote nje sasa naimagine siku umekutana na kijana wa watu huko kakupenda kakupeleka kwao akutambulishe msra wadogo zake wanaoneshana picha huyu ndo shemeji na kichupi...mpk hapo wajomba zake wote wanajua tako lako likoje.. ndani una alama wapi na wapi..
aibu!!
Itakua sio kibamia huyuHicho kitumbua chake mbona kimeumka sana as if amekitia amila