Alafu unasema unataka good husband mungu anakuona

Hii kauli “Mungu anakuona" tujaribu kuangalia tunavyoitumia...wakati mwengine inatumika pasi'na sababu ya maana na ya msingi,mf; hapa bint kashika sijui bangi sijui sigara tunasema Mungu anakuona,nikusema kwamba yeye ndo kamtuma afanye ujinga huo?wengine unakuta vimada wamefumaniana basi utasikia jamani wewe fulani Mungu anakuona,yaani mfanye uzinzi wenu huko mmefumaniana mnamshirikisha Muumba?no tubadilike tunakosea ndugu zangu tuache mizaha kwa vitu visivyotaniwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…