Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
- Thread starter
-
- #341
Mbona za chupi hausi au hizo hazikukeri?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nakunywa nini?Kwani anakunywa
majiNakunywa nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww ndo zinakutoa alama za chupi.?
Sinywi, nakunywa amarula.maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππwas jokin..km amarura unaiweza bas utakunywaSinywi, nakunywa amarula.
Ebu usitufanyie hivi tunataka upajaHawachi ukimfata espy na shunie watakupoteza.. hyo ni stry ya jukwaa jingne..hazard muulize fresh jaman tunaharibiana mjue[emoji23][emoji23]
Na ubaki na mistari yako, hatukusaidii jinsi ya kuitoa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaniboa
Ebu ngoja niende[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana best mimi mnywaji mzuri wa pombe natamani kujumuika na wanywaji wenzangu je unaweza kunitajia huo uzi sweet [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mpaka nimeangukaUna utani wewe mkuu, bila bra mjini patakalika kweli!!
Ashukuriwe alotuletea haya makitu.
Toka lini jamanisasa je
Pombe jamaniNakunywa nini?
Hahhaaahww ndo zinakutoa alama za chupi.?
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia
Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tuπ’π’π’π’π’!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Inaleta hamu hiyoSinywi, nakunywa amarula.
Dada usinisahau na mimi πEbu ngoja niende
Usijali mamaDada usinisahau na mimi [emoji4]