Alama hizi za bra zinatokaje?

Imebidi niangalie kama nnazo mi sijaziona.Bra nnazovaa zinabana kiasi ila nkisharudi Tu kazini navua mpaka siku inayofata ndo navaa tena.
 
Imebidi niangalie kama nnazo mi sijaziona.Bra nnazovaa zinabana kiasi ila nkisharudi Tu kazini navua mpaka siku inayofata ndo navaa tena.


mimi had huku nyuma mgongon kumeweka alama kbs...argghh...sema unavua mm najisahau kbs
 
Haibani wala nn shoga kawaida kbs ..nahis navaa muda mref maana ht usk jikioga mir najikuta nishavaa[emoji6][emoji6][emoji6]..nw nimeweza kuacha kidg..
Ukirudi Tu kazini jitahidi uvue usilale nayo.Mi nnavovua Tu ndo kunakua na kialama nkishaoga nkakaa mda sioni alama.
 
Ilikuwa nije pm nimeghairi...
 
poleni sana wanawake, kwa maswahibu mnayopitia...[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Haibani wala nn shoga kawaida kbs ..nahis navaa muda mref maana ht usk jikioga mir najikuta nishavaaπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰..nw nimeweza kuacha kidg..
Shogaa jomoniii ulikuwa unavaa bra kwa bed usiku na mumeo akiwepo??lol,.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hii ndio shida ya kuolewa bikira (kidding)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…