Alama hizi za bra zinatokaje?

Hio inaondoka yenyewe ,kikubwa punguza kuvaa bra mda wote ,acha kulala na bra pia ukimaliza mizunguko ya sikunzima ukishao ga usivae bra hadi kesho itaisha.
 
Hio inaondoka yenyewe ,kikubwa punguza kuvaa bra mda wote ,acha kulala na bra pia ukimaliza mizunguko ya sikunzima ukishao ga usivae bra hadi kesho itaisha.


Asante sana...niliacha kulala na bra...kidg inafade..tatizo narudi usk kutoka saa12 asbh..bas ni km yale yale😢...hilo jina nimekumbuka chaka langu jipya mkoa fulan
 
Siri kuu ni kuvaa bra ya size yako
ijue kabisa mf mimi najijua ni 34 C..and dont wear ndogo...ukinenepa nyonyo nayo inakua jipime for comfort
Bora uvae kubwa

Ndogo zigawe ama tupa kabisaa

Makovu masage tu mafuta yako ya kila siku overtime itaisha

Ni kama kiatu
Usivae cha kubana utatoa alama miguuni

Usilale na bra
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kama naanza kukuamini..napenda bra nyeusi asikuambie mtu..dadek.huenda kuna ukweli bwana..nyeupe navaa occasionally
Mhh rangi sidhan km ni sababu
Unless km unashinda juan

Black bra is the best cz hazitokei knwy nguo
 

mie nanenepa tu naona na mtindi unazidi kuwa mnene😏😏..eish...ht sielewi..ila zimeanza kufade kidg...ilikua had kero kbs
 
Tumia salt/ sugar scrub with virgin coconut oil to srub your body.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…