Alama mbili za barabarani ambazo ukiwa dereva lazima uwe macho kuziona

Wadau na mimi nisaidieni kujua maana ya hiyo alama ya kulia kichwa kilichopitiwa na mstari mwekundu.. kwa tafsiri nilifikiri ni sehemu ya watu wasio na akili timamu kuwa na tahadhari..

Nahitaji kujua.
Tunaita eneo lenye "walemavu wa akili" ....watu wasio na akili timamu sio kauli nzuri.
 
Tunaita eneo lenye "walemavu wa akili" ....watu wasio na akili timamu sio kauli nzuri.
Mkuu hivi mwalimu akiniambia define mlemavu wa akili nitasemaje, sio mtu asiye na akili timamu? Nitakuwa nimekosea?
 
Sumbawanga katav kila km 5 mpaka 7 trafk wameshindwa kukaa tu mbugani
I say basi huko hizi alama zinahitajika sana.

Ila sijajua, hivi kwa nini hizi alama zimewekwa kwenye barabara ya Chalinze - Moshi peke yake, hasa sehemu za Pwani viko vingi sana?

Isije ikawa ni matusi ya kisiasa yanalengwa kwa watu fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…