Alama ya maziwa kwa mwanaume ina kazi gani?

mwanamanzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2017
Posts
270
Reaction score
354
Ninatumaini Pasaka ndio imeisha kwa usalama,

Napenda kujulishwa kitaalamu hasa kwa waliobobea katika masomo ya baiolojia kipengele cha viungo na matumizi yake (anatomy and physiology).

Hivi alama za maziwa/ matiti kwa wanaume yana kazi gani hasa?
 
Mkuu ulipokuwa unatumia pesa kwa fujo kisa pasaka ulihisi ndo mwisho wa Dunia,

Una safari ndefu sana mpaka mwisho wa mwezi,

Kesho utakuja kuuliza makalio yana kazi gani
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…