imetokana na: (Hes. 21:8-9) "....naye Mungu akamwambia Musa: Tengeneza Nyoka wa shaba, umtundike juu ya mlingoti. Mtu yeyote atakayeumwa na nyoka, akimtazama nyoka huyo wa shaba, atapona. Basi, Musa akatengeneza nyoka wa shaba, akamtundika juu ya mlingoti. Kila mtu aliyeumwa nanyoka alipomtazama huyo nyoka wa shaba, alipona" (Hes. 21:8-9