A
Anonymous
Guest
Barabara nyingi za Dar alama za wavuka kwa miguu, alama za matuta na mistari ya kutenganisha barabara upande wa kushoto na kulia zimefutika ambapo ni hatari kwa madereva na raia hasa wakati wa usiku.
Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani shughulikieni hili sio kusubiria mpaka tuwe na ugeni ni aibu.
Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani shughulikieni hili sio kusubiria mpaka tuwe na ugeni ni aibu.