Alama za mtihani wa kumaliza elimu ya msingi

Kijuram

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
513
Reaction score
374
Jambo wa JF,
Siku hizi matokeo ya mtihani wa darasa la saba yanapotoka yanaonyesha grade aliyopata mwanafunzi kwa kila somo, yani A, B+, B, n.k. Naomba wana JF wanaofahamu wanifahamishe hizi grade wanazigroup vipi kulingana na alama? Yani "A" inaanzia ngapi, "B" inaanzia alama ngapi na kuishia ngapi n.k.
Natanguliza shukrani.
 
Labda wanatumia kama zile za O-Level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…