Alamba, alamba tena πŸ˜‹ - njooni tuzogoe!

Umeelewa somo πŸ˜…
Sema kuna namna kama watu wenye ndoa mna faidi

Sisi sex hatupati hata tukinyegeka 😭
We saiv unaenda zako kwa mkeo πŸ™Œ

Unaweza ukaoa na usifaidi! Ni scenario tuu! Usiingie kwenye ndoa kwa mindset hiyo, kwamba wanafaidi. Kitakupata kitu, na utapaniki sana. 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…