Alan Lucky wa Eatv apata shavu Kenya

dungadunga

Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
26
Reaction score
1
kwa wale wapenzi wa kipindi cha Skonga cha channel 5 huyu jamaa anaejiita raisi wa wanafunzi amepata shavu Kenya. Bado sijajua n channel gani.
 
kwa wale wapenzi wa kipindi cha Skonga (channel 5 ) huyu jamaa anaejiita raisi wa wanafunzi amepata shavu Kenya na kuachana na kuachana na Eatv . Bado sijajua ni channel gani alichopata
 
Kila la kheri kwake



'Maslahi mbele daima'
 
Acha papara ! Tulia na utoe habari !

Mbona hata Millard Ayo alipata SHavu DSTV lakini mpaka leo yupo yupo tu !
 
kwa wale wapenzi wa
kipindi cha Skonga (channel 5 ) huyu jamaa anaejiita raisi wa wanafunzi
amepata shavu Kenya na kuachana na kuachana na Eatv . Bado sijajua ni
channel gani alichopata

umepata wapi hii news? na mbona Alan bado naona kipindi chake kinarushwa? na yeye akiwemo ndani ya kipindi
 
Ametokelezea big up allan the luckiest dude on the planet.
 
Jamaa yuko vizuri sana kama habari hii ni ya kweli Eatv wanatakiwa wafanye kitu cha ziada wamrudishe, Any way nawaamini sana hawa jamaa hawaisìwi ubunifu kabisa Hivi kuna mtu anakumbuka kuwa Kina Jot na Ze comedy yao walitokea Eatv?

BACK TANGANYIKA
 
Alan Lucky yupo vizuri sana na anakimudu sana kile kipindi chake cha SKONGA ni zaidi ya Elim.

EATv mziki mwingine kabisa,ikiondoka Dhahabu wao wanaweka Almasi.
Aliondoka Musa wa Uswazi angalia balaa liliongia kufunika na kusafisha njia Mr.Zembwela,ni nooma.
Yaani mpaka nauliza huyu alikuwa wapi hiki ndio kipindi kinachomfaa.Sasa hivi Zembwela anakiendesha kipindi cha uswazi kwa ubora wa hali ya juu sana na uhalisia husika na unajua kabisa kwamba hiki kiumbe chenyewe kimetokea hukohuko na hakiigizi.

Namtakia kila la Kheir Alan Lucky kama ni kweli anahamia Kenya,najua atamudu vizuri tu,na hii ni fursa kwa vijana wa kitanzania kwamba na sie tuache kulalamika kwamba wakenya wanakuja kuchukua ajira zetu,muhim ni kujituma na kujiamini nakuwa mbunifu,ndio maana yeye ameonekana na kujakuchukuliwa kwa ubora wake.Big Up Brother
Ila naomba uondokea for good ili ukirudi tukupokee tena.
 
Viroba vya baridi na huku jua linawaka vinavuruga sana ujue..
 

mdau wa EATV nakuelewaa
 
Last edited by a moderator:
kwa wale wapenzi wa kipindi cha Skonga cha channel 5 huyu jamaa anaejiita raisi wa wanafunzi amepata shavu Kenya. Bado sijajua n channel gani.

duh kwahiyo atakua na mashavu matatu.... natamani nimuone huyu binadamu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…