Weka mafuta ya kutosha acha ubahili boss.Habari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash. Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10. Lakini nilipoenda kama km 2.5 tu ikaflash tena. Ni kweli shell wananiibia au engine imegeuka jini la kubugia mafuta junsi hii? Au kuna technical problem nyingine sijaigundua tu? Naomba msaada wataalam.
Jaribu tu kuweka nusu tank uone kama changamoto iraendelea. Otherwise mwone daktari akague chuma.Ya kutosha kama kiasi gani labda, kwa mujibu wako?
Inaweza kuwa zina leakage kama sensor ya gauge itakuwa nzima.Kwamba tank na pipe labda kuna blockage au kitu gani? Ahsante boss.
Tanzania SHELL unaipata wapi? Wewe huna gari. Ungekuwa na gari ungejua hakuna shell tz. Usitupotezee mudaHabari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash.
Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10. Lakini nilipoenda kama km 2.5 tu ikaflash tena.
Ni kweli shell wananiibia au engine imegeuka jini la kubugia mafuta junsi hii?
Au kuna technical problem nyingine sijaigundua tu? Naomba msaada wataalam.
Shell ni kampuniUnajifunza kiingereza kwa kukariri maneno? Hapa nchini, kituo chochote cha mafuta kinaitwa shell. Usikariri!!
Kumbuka mafta ya 10000 kwa sasa ni kama lita 2 point something so ni kiasi kidogo tuHabari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash.
Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10. Lakini nilipoenda kama km 2.5 tu ikaflash tena.
Ni kweli shell wananiibia au engine imegeuka jini la kubugia mafuta junsi hii?
Au kuna technical problem nyingine sijaigundua tu? Naomba msaada wataalam.
Naelewa kuwa ni kampuni kama yalivyo makampuni mengine kama BP, Lake, Total, Agip na mengine mengi.Shell ni kampuni