ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kulikuwa na mafuta kiasi gani kabla hujaongeza?Habari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash.
Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10. Lakini nilipoenda kama km 2.5 tu ikaflash tena.
Ni kweli shell wananiibia au engine imegeuka jini la kubugia mafuta junsi hii?
Au kuna technical problem nyingine sijaigundua tu? Naomba msaada wataalam.
Petrol kwa Dar ni 3,257 kwa lita. 20,000tsh inakupa 6lts tu, ambayo kiuhalisia ndio reserve ya tank lako. Taa kublink ni sawa kabisa, siju hizi walau uweke 40k+ ndio unahisi umeweka mafuta.