Alarm za Tishio la moto Benki ya NBC

Alarm za Tishio la moto Benki ya NBC

M-pesa

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
602
Reaction score
152
Kuna jamaa yangu anafanya kazi NBC kanipigia simu kuniambia kuna Tishio la moto. Mwenye kufahamu zaidi tafadhali atujulishe. Hii benki kila siku scandals, kilichobaki tuchukue fedha zetu tu!
 
Mkuu taarifa gani tena unataka,wakati umesema jamaa yako amekupa taarifa?Muulize huyohuyo
 
mtu yupo nbc kakupigia simu. si umuulize vizuri au salio limekuishia? tupe namba tumuulize vizuri. mia
 
Basi akupe namba yake umuongezee salio ili aweze kumpigia huyo jamaa yake.
 
Kwakifupi ni kawaida kuzifanyia checkup kama ziko saw napia kuona watumishi wanarespondeje
wakati wa tishio kama hilo kazi kuna square yao yakukutana then kitengo hisika ndio pekee wanaojua kuwa watafanya
hiyo tesk iliwaweze kuandika report yao kila mara baada ya mda fulani, am Ex banker tena hapohapo NBC ndio mikato yao hiyo warry not brave
 
Wanajaribu kuichoma benki kuharibu ushahidi wa ufisadi wao!!
 
Back
Top Bottom