Haya mambo yapo jamani halafu yanauma sana, kama haijawahi kukutokea tema mate chini isikutokee. Yani unajikuta umekata tamaa ya kuwa na love of your life coz mmepotezana, so unaenda kwa alternative number mbili, baadae ndio anaibuka kutoka huko alipotokea, kaoa na wewe umeoa. Binafsi ilishanitokea na inanifanya niishi maisha ya mawazo wakati mwingine, na yy pia lakini tunajaribu kukaa mbali na kukubali hali halisi.
kwa mujibu wa maelezo ya dada anasema Bado hajaoa kwa kuwa kavurugukiwa na tukio hili na anang'ang'ania kuwa dada ndiye chaguo lake tangu zamani.
Kusema ukweli hata mimi simuamini Roger maana nilidhani walikuwa wanasubiri ajifungue ili wafunge ndoa ila naona baada ya hapo kuna miaka mingine 3 ambayo huyo dada yako alikuwa home kwa sababu ya ugomvi na huyo mumewe. Ina maana hiyo miaka 3 yote Roger alikuwa anajilia tu vyake kwa kisingizio cha kumuoa lini?????