Alaumiwe nani?

Joined
Jun 18, 2012
Posts
58
Reaction score
5
Hivi vyuo visivyo sajiliwa kwa nin serikali wanaviacha vinaendesha mafunzo tena kwa fees ya juu sasa cha ajabu ukimaliza ukiomba kazi unaambiwa chuo ulichosoma akitambuliki. Hapo juzi kuna watu wametimuliwa FDA walivyoenda kuchukua kozi ya famasia baada ya kuhitimu kozi ya nursing CHIMALA NURSING SCHOOL wameambiwa hiki chuo hakitambuki wakati ni chuo kikubwa na kikongwe lakin cha ajabu serikali wanaacha kiendeshe taaluma hii nyeti pasipo usajili.. Kikubwa zaidi wananchi wanaliwa fedha zao....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…