Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Msanii Alawi Junior amesema nyumba aliyodai kununua Baraka yeye ndio alimtafutia mama mkwe wake ambaye alikuwa anatafuta nyumba na alipo post kumpongeza mama mkwe hakujua kwamba Baraka alikwisha fanyia show off ili kumuaibisha
Amesema yeye alikuwa shahidi wakati wa makabidhiano na kusaini kati ya muuzaji na mnunuzi ambaye ni mama mkwe wake
Amesema yeye alikuwa shahidi wakati wa makabidhiano na kusaini kati ya muuzaji na mnunuzi ambaye ni mama mkwe wake