Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Wakuu Sana,
Hivi kubandika haya mabango barabarani koote JK akiwa na mama yake,mababu,sijui na nani tena ni kampeni kweli au show off?....nimekereka

Kuuza nyago
Jamni kuuza nyago ndio nini?Aisee hata mimi naona hivyo hivyo tu kuuza nyago hamna lingine
jamni kuuza nyago ndio nini?
Jamni kuuza nyago ndio nini?
Lile lingine yuko na vibabu na vibarakhashia na vilemba...ati mtu wa watu...kazi kweli...wale sio waganga wa kienyeji kweli?....:confused2: