MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Feb 11, 2025 #41 Division Five wana comment wapi?
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Feb 11, 2025 #42 princess ariana said: Mimi ni miongoni mwa zero ila nmewazidi maarifa watu wengi sana wenye degree.. ajifunze kuchanganua Elimu iliyopo ni ya hovyo kupata kutokea Click to expand... Pole kwa division zero unajua umuhimu wa ELIMU ni mkubwa mnoo na hatuwezi kuukataa. Dr am 4 real PhD , hayo maneno anamaanisha nifanyevip hapo lugha imenichenga nisaidie kuntafilia tafadhari" DIVISION ZERO MWENZAKO HUYO KANITUMIA NIMFANYIE UKARIMANI ππππ
princess ariana said: Mimi ni miongoni mwa zero ila nmewazidi maarifa watu wengi sana wenye degree.. ajifunze kuchanganua Elimu iliyopo ni ya hovyo kupata kutokea Click to expand... Pole kwa division zero unajua umuhimu wa ELIMU ni mkubwa mnoo na hatuwezi kuukataa. Dr am 4 real PhD , hayo maneno anamaanisha nifanyevip hapo lugha imenichenga nisaidie kuntafilia tafadhari" DIVISION ZERO MWENZAKO HUYO KANITUMIA NIMFANYIE UKARIMANI ππππ
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 3,504 Reaction score 6,809 Feb 11, 2025 #43 Hizi Elimu za kikoloni ni za kutafutia vibarua na sio kipimo cha intelligence ya mtu 100%, wengi hawana hizo elimu za kujua miji mikuu lakini wafanyabiasha safi, wametoa ajira na kulipa kodi za mamilioni, tuheshimu mchango wa kila mtu
Hizi Elimu za kikoloni ni za kutafutia vibarua na sio kipimo cha intelligence ya mtu 100%, wengi hawana hizo elimu za kujua miji mikuu lakini wafanyabiasha safi, wametoa ajira na kulipa kodi za mamilioni, tuheshimu mchango wa kila mtu