Albert Chalamila: Mwizi Wa Tv, kuku wekeni Kwapani. Mkoa unashughulika na Majambazi

Albert Chalamila: Mwizi Wa Tv, kuku wekeni Kwapani. Mkoa unashughulika na Majambazi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaeleza wananchi wa Segerea kuwa suala la vibaka lipo katika ngazi ya mitaa hivyo wahakikishe kupitia ulinzi shirikishi wanamaliza jambo hilo, kwani mkoa unashughulika na majambazi.

Soma Pia: Albert Chalamila: Sasa naunda task force kubwa itakayokuwa na silaha
 
Back
Top Bottom