Albert Chalamila ni 'Makonda Type', ila ana Umakini, Utu, Akili na Mchapakazi hivyo wana DSM tumpeni Ushirkiano mkubwa

Albert Chalamila ni 'Makonda Type', ila ana Umakini, Utu, Akili na Mchapakazi hivyo wana DSM tumpeni Ushirkiano mkubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mapungufu yake ni machache kuliko Ufanisi (Uwezo) wake mkubwa wa Kiutendaji ambao GENTAMYCINE naupenda na naukubali.

Mkoa wa Dar es Salaam unawataka Watu Chakaramu (Watundu) ambao pia ni Watoto wa Mjini, Wasomi sana halafu Wasela mno na Wanaojua Kujichanganya na Waru wa kila Rika, Wathubutu na Wapenda Haki kama Albert Chalamila.

Albert Chalamila nitashangaa Ukibadilika na mpaka umeona GENTAMYCINE leo nimekupa hizi Credits tukuka hapa jua nina Imani Kubwa nawe.

Usiniangushe na Karibu sana Dar.
 
Anafaa, Anaweza, Anastahili,

Yote hayo atafanikiwa endapo kama ataacha ubabaifu na usela mwingi.

Wana Dar Es Salaam tunamkaribisha sana.

Maana tulipoa kidogo hapo katikati

Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
 
Ukiniwekea Makalla na Nusu Chalamila nitachagua Nusu ya Chalamila. Makala ni Aina ya viongozi wanaobebwa na Mfumo.

Halafu ifike mahali Mheshimiwa Rais aepuke mtindo wa kuteua Wabunge walioshindwa majimboni kuwa Wakuu wa mikoa au Wilaya. Wanaendeleza uongo ule ule waliotoka nao bungeni.
 
Back
Top Bottom