Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila akizungumza hivi leo.kuwa uongozi wa Mkoa upo Tayari kuwajibika Ikigundulika kuwa kuna uzembe umefanyika katika kuwaokoa wale waliokuwa wameangukiwa na jengo na hatimaye kupoteza Maisha.
Ameendelea kusema kuwa yeye anaamini ya kuwa juhudi kubwa zimefanyika katika kutekeleza wajibu wa kuwaokoa wale waliokuwa wamenasa chini baada ya kuangukiwa na jengo hilo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.