tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Mwaka 1952, Albert Einstein alipewa nafasi ya kuteuliwa kuwa Rais wa Israel lakini akakataa kwa hoja moja kwamba yeye ni mwanasayansi, asiyekuwa na uwezo wa kushughulika na watu (pamoja na umri kwenda mbali sana).