tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Mwaka 1952, Albert Einstein alipewa nafasi ya kuteuliwa kuwa Rais wa Israel lakini akakataa kwa hoja moja kwamba yeye ni mwanasayansi, asiyekuwa na uwezo wa kushughulika na watu (pamoja na umri kwenda mbali sana).
Teh teh teh! Wa kwetu soteIla huyu wa kwenu hakukataa
tehetehe....................... wala hakuwa na ndoto hizo ni kama zali tuu...Ila huyu wa kwenu hakukataa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwa dhana ya kufikirika [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Teh teh teh! Wa kwetu sote
mbona hakuna barua ya majibu ya mhusika
Teh teh teh! Wa kwetu sote