central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Wanasema Albert Mangwair alikuwa rapper ambaye alikuwa mbele ya muda.
Hawajawahi kuacha kusema kila linapokuja suala la mbele ya muda kwenye mziki, Ngwair anazungumziwa sana.
Naombeni tujadili hapa na sisi wengine tupate faida. Ni kwa namna gani Ngwair alikuwa mbele ya muda? Tunaweza kupata mistari mingi kutoka nyimbo zake zenye asilimia 100 kwamba alikuwa mbele ya muda? Au hii imekaaje?
Sio kwa ubaya, tupate faida wengine ambao hatujui.
R.I.P Freestyle king Cowbama
Karibuni wadau.
#forgiveme