Albert Mangwea (Special Thread)

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,951
Safari ya Mwisho ya Albert Mangwea (RIP) katika picha

Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Addo Novemba kushoto akijadiliana jambo na viongozi wa Kamati ya Mazishi katika shughuli yaa kumuaga marehemu Albert Mangwea, katika viwanja vya Leaders Club leo.

Wasanii wanaaga

Mbunge Idd Azzan anamuaga Ngwea

Watu wanamlilia Ngweaa
Sehemu ya waombolezaji waliokwenda wakimuaga marehemu Ngwea katika viwanja vya Leaders Club

Mbunge wa Kinondoni, Idd Azzan kulia, akijadiliana jambo na mjukuu wa Julius Kambarage Nyerere, Sofia Nyerere na ndugu yake kushoto kwake katika viwanja vya Leaders Club leo.
Waombolezaji waliokwenda kumuaga marehemu Ngwea wakijadiliana jambo katika viwanja vya Leaders Club

............Historia ya Albert Mangwea kimziki..............

************* Kumbukumbu ya miaka 2 ya kifo cha Mangwea*****************

************** Kumbukumbu ya miaka 3 ya kifo cha Magwea****************

************* Kumbukumbu ya miaka 7 ya kifo cha Magwea*********
 
Sehemu ya waombolezaji waliokwenda kumuaga marehemu Ngwea ikiwa kwenye pilikapilika za kutaka kumuona kwa karibu msanii Diamond, hivyo kuvunja utaratibu mzima, wakati shughuli hiyo inaelekea mwishoni katika viwanja vya Leaders Club leo.
 
Jay Moe, akizungumza Live na kituo cha Redio kutoka viwanjani hapo.....

Wasanii wakipita kutoa heshima za mwisho.....

Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya na wasanii wa Filamu, waliojitokeza kwenye shughuli hiyo..

Dj Choka, akimshikilia msanii wa muziki wa kizazi kipya, Q-Chillah, aliyekuwa akiangua kilio baada ya kupita na kutoa heshima zake za mwisho mbele ya Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Mangwea...
 
Hii ndiyo Kamati ya maandalizi ya kufanikisha shughuli hiyo.....

Wengine pia walikuwa ni vituko kwa aina ya mavazi, kama mwandishi huyu alionekana akiwa ametinga nguo inayomuonyesha mwili wake.....

Heshima za mwisho....
 
Vijana wakifukuza gari la Msanii Mr. Blue wakitaka asimame ili wamzonge kama walivyofanya kwa Diamond....
 
Askari Polisi wakituliza ghaasia zilizokuwa zikitokana na wananchi waliokuwa wakijaribu kuwahi foleni...

Mbunge wa Konondoni, Idd Azan, akiongoza kuaga......na kutoa heshima za mwisho.....

Wasanii wakiwa kwenye foleni ya kwenda kuaga......

Msanii Keisher, akipita kutoa heshima za mwisho.....

Gadna G Habash, akiongoza shughuli hiyo....

Mzee Magari na wasanii wa Filamu wakipita kutoa heshima za mwisho......

Mheshimiwa Temba akipita kuaga....

Polisi Jamii wakiranda na mbwa kudhibiti vurugu.....

G Habash akizungumza .....

Wasanii wakipita kuaga.....

Msanii Dogo Hamidu, akipiga saluti ........

Msanii wa kundi la The Comedy, Joti, akipita kutoa heshima zake za mwisho...
 
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 4, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Umati wa watu uliofurika nyumbani kwao Mangwea[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 4, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Askari akiongoza msfara uliobeba mwili wa Mangwea mara baada ya kuwasili Mikese Morogoro amb ulpokelwa na wasanii wa fani mbali mbali pamoja na mashabiki wa marehemu[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 4, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mashabiki wa Mangwea wakiwa wanakimbia sambamba na gari liliobeba mwili wa marehemu[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 4, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Msafara wa magari yaliyokuwa yanaelekea msibani kutoka Dar[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 4, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Msafara ukiendela[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 4, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Umati wa watu kando kando ya barabara wakiusubiria mwili wa mpendwa wao[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 4, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mashabiki wa Mangwea wakiwa kando kando ya barabara katika mzunguko wa Msamvu Morogoro wakati msafara ukielekea nyumbani kwao Kihonda[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 4, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mapokezi ya mwili wa Mangwea eneo la Mazimbu road Kihonda[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 4, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mwandishi na mpiga picha wa Abood Media Salum akiwa kikazi zaidi[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 4, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Basi la Abood likiwa limesima Mikese wakisubiria msafara wa wa gari liliobeba mwili wa marehemu Mangwea. Basi hiloambalo lilwabeba wasanii wa fani mbali mbali
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 4, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Gari lilio beba mwili wa marehemu Mangwea liliingia nyumbani kwao Kihonda Morogoro[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 4, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Watu ni wengi sana na wengi ikawalizamu kupanda ju ya mti ili wapate taswira nzuri[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 4, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]
Mwili wa marehemu Mangwea ukirudishwa kwenye gari tayari kwa kupeleakwa mochwari kwaajili ya kuhifadhiwa
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
[h=2][/h]

Siku moja baada ya kifo cha marehem Ngwea, Dully alikuwa na safari ya kuelekea Mwanza, ambapo alikaa huko kwa muda wa siku mbili na kurudi, kwakuwa alikuwa akiendesha mwenyewe gari lake kuelekea Mwanza na kurudi, Dully aliamua kubaki Morogoro tangu siku ya juma tatu kuusubiri mwili wa Ngwea, ambapo kwa sasa yupo na afande sele na wananchi kibao maeneo ya nane nane, wakisubiri kuusindikiza mwili wa marehem kutoka maeneo hayo

Hizo sefuria za ubwabwa mbona kama utani?
Inasikitisha ambavyo kijana huyu amethaminiwa baada ya kifo. Kati ya haoashabiki ukiuliza wangapi walishawahi kuhudhuria show ama kununua genuine album, utachoka. Sijui tukoje.
 
Dah Kinacho nikeraga siku zote ni mavazi ya waombolezaji misibani aisee!! Ivi kioo cha jamii kinamreflect nani? Mtu anawezaje kuvaa nguo mikono mikato bila hata kujitanda msibani? Mwingine anavaa trouser imembana na miwani mikubwaa eti kajisitiri!! Wanaendaga kumuonyesha nani? Mbona %kubwa Ya wasanii wetu wamezaliwa vijijini tu? vipi leo wajidai eti nao wanaishi kinje. Aaaaah wananiboa sana.
WebRep

Overall rating

Mmmhh
Sauda Mwilima hapo tena na nguo yenye
kuonyesha maungo ni nini msibani.
 
Hizo sefuria za ubwabwa mbona kama utani?
Inasikitisha ambavyo kijana huyu amethaminiwa baada ya kifo. Kati ya haoashabiki ukiuliza wangapi walishawahi kuhudhuria show ama kununua genuine album, utachoka. Sijui tukoje.
Yani sisi wanadamu tumejaa unafiki mkubwa
 
Hizo sefuria za ubwabwa mbona kama utani?
Inasikitisha ambavyo kijana huyu amethaminiwa baada ya kifo. Kati ya haoashabiki ukiuliza wangapi walishawahi kuhudhuria show ama kununua genuine album, utachoka. Sijui tukoje.
Binadamu kwa kuigiza nimenyanyua mikono juu...Sasa hivi wana uchungu sana na kikubwa zaidi ni kujionyesha.....embu watu wabadilike, upendo wa dhati uonekane mtu akiwa hai .
 
Ni safari ya mwisho dah!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…