Mwachen Ngwea apumzike...
Labda kwanza lets find out what made him do/engage na hivyo vitu. Ila naamini mazuri yapo hata kama wewe hujayaona mkuu, kila mtu ana mapungufu yake jamani..na kazi ya kuhukumu sio yetu. simply speaking!!!!!
Nakubaliana na wewe kabisa ila kumbuka wakati anakata roho pengine alitubu na kusamehewa who knows? hata dakika yako ya mwisho inaweza kukuokoa..cha msingi tukemee matumizi ya madawa ya kulevya but kusema mtu kafia dhambi siungi mkono. ni mawazo yangu lakini!Hakuna suala la mtu kuhukumiwa hapa mtu amefia dhambini isemwe wazi mnaficha nini ,hii haiwasaidii waliobaki
na kuendelea kula madawa ya kulevya' Vitabu vya dini vimeweka wazi na hata ndani ya nafsi ya mtu anajua ulevi ni
dhambi ya kumpeleka mtu motoni baada ya kufa'
Nilikuwa wa kwanza kuhoji hili na nikaenda mbali zaidi nikahoji nguvu hii ingetumika kabla yawezekana angekuwa sehemu nyingine.
Kwa wanaobisha naomba kuuliza kifo chake kimesababishwa na nn?
Nakubaliana na wewe kabisa ila kumbuka wakati anakata roho pengine alitubu na kusamehewa who knows? hata dakika yako ya mwisho inaweza kukuokoa..cha msingi tukemee matumizi ya madawa ya kulevya but kusema mtu kafia dhambi siungi mkono. ni mawazo yangu lakini!
nimekusoma mkuuNi kweli yawezekana kabisa kutubu dakika ya mwisho kabla ya kufa,lakini sio suala la kujifariji nalo kwani
ni ngumu mtu anayefia katika ulevi kukumbuka suala la toba
Nawewe ni lazima utakuwa mtumia madawa
Alikuwa Singapore!Kwani rc tulimsaidia wote ama alisaidiwa na kaka mkuu? Huu ujumbe ni wa kaka mkuu. Haendi kwenye misiba ya maprofesa anaenda kumzika kanumba. Kwanza sijui kwa nini hakwenda kumzika ngwear
kwani chanzo cha kifo chake ni nini?
hujakosea,natumia madawa kweli,ila sio mliberali kama wewe.
Nimesikitishwa sana na huu uzi pamoja na baadhi ya comments za wadau. Kuna watu humu wanajifanya wao ni watakatifu kiasi cha kunyooshea vidole wengine na pia kumlaumu marehemu. Ngwair ni mmoja wa mamilioni ya watz wahanga wa hayo madawa. Kwanini tulaumu wanywaji wa vilevi huku tukisifia viwanda vinavyotengeneza hivyo vilevi?