Kwa hiyo kama yeye aliwahi tajwa ndo asiseme kuhusu Serikali kufanya utekaji?Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuwa Serikali haihusiki na utekaji kama anavyodai aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole
“Serikali haiteki Watu, Polepole asihishutumu serikali kuhusika na utekaji, Mbona hata yeye huko nyuma aliwahi kutajwa kuhusika na utekaji” amesema Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando
Soma pia GE2025 - Albert Msando: Ni kweli Ufisadi upo nchini lakini Rais Samia anapambana nao
Huyu chawa yuko busy kutafuta promotion!Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuwa Serikali haihusiki na utekaji kama anavyodai aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole
“Serikali haiteki Watu, Polepole asihishutumu serikali kuhusika na utekaji, Mbona hata yeye huko nyuma aliwahi kutajwa kuhusika na utekaji” amesema Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando
Soma pia GE2025 - Albert Msando: Ni kweli Ufisadi upo nchini lakini Rais Samia anapambana nao
Upo wakati unakuja , hata uyu atakua na nafasi ya kusema haya , tufike mda penye hapana tuseme hapana na penye ukweli tuseme ndio , taifa letu sote ndungu zangu, tusifurahi mmoja wetu humizwa hii sio afya kwa nchi.Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuwa Serikali haihusiki na utekaji kama anavyodai aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole
“Serikali haiteki Watu, Polepole asihishutumu serikali kuhusika na utekaji, Mbona hata yeye huko nyuma aliwahi kutajwa kuhusika na utekaji” amesema Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando
Soma pia GE2025 - Albert Msando: Ni kweli Ufisadi upo nchini lakini Rais Samia anapambana nao
Kwani huyu boya ji nani ?? Anajipendrkeza hivii......mbona DC wa Magu Kwimba etc hawasemi ? Haimuhusu akae kimyaaaMkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuwa Serikali haihusiki na utekaji kama anavyodai aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole