ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Nadhani toka nchi ya Tanzania Imezaliwa mwaka 1961 hakujawahi kutokea album Kali ya Kundi la Hip hop Kama ile iliyokuwa na vichwa vitatu waliotengeneza Kundi linaitwa wachuja nafaka lakini pía walitengeneza album inayoitwa wachuja nafaka ilokuwa na nyimbo zifuatazo,
1.Wachuja nafaka
2.Mzee wa Busca
3.Ya Leo Kali
4. Radhia
5. Tunafanya kazi
6.Mzee busara rmx
7......
8......
9. Kamua Babá, hii haikuwa ktk album
Kundi hili lilikuwa na Juma, kr , dollo na d chief.
Sijui album nyingine za makundi, labda daz nundaz kidogo
1.Wachuja nafaka
2.Mzee wa Busca
3.Ya Leo Kali
4. Radhia
5. Tunafanya kazi
6.Mzee busara rmx
7......
8......
9. Kamua Babá, hii haikuwa ktk album
Kundi hili lilikuwa na Juma, kr , dollo na d chief.
Sijui album nyingine za makundi, labda daz nundaz kidogo