ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Nyimbo zote ulizozitaja zote Kali. Ila Ya Leo Kali ,ndio naikubali naukumbuka mstari wa Nature, anakwambia "tembea kwa mwendo wa fedha,nchi ishauzwa hii.."Nadhani toka nchi ya Tanzania Imezaliwa mwaka 1961 hakujawahi kutokea album Kali ya Kundi la Hip hop Kama ile iliyokuwa na vichwa vitatu waliotengeneza Kundi linaitwa wachuja nafaka lakini pía walitengeneza album inayoitwa wachuja nafaka ilokuwa na nyimbo zifuatazo,
1.Wachuja nafaka
2.Mzee wa Busca
3.Ya Leo Kali
4. Radhia
5. Tunafanya kazi
6.Mzee busara rmx
7......
8......
9. Kamua Babá, hii haikuwa ktk album
Kundi hili lilikuwa na Juma, kr , dollo na d chief.
Sijui album nyingine za makundi, labda daz nundaz kidogo
Hard blasters (nigga jay, fanani na big willy) album iliitwa funga kazi. Ilikuwa ya moto kweli kweli tafuta usikilize. Kulikuwa na nyimbo kali kamaNadhani toka nchi ya Tanzania Imezaliwa mwaka 1961 hakujawahi kutokea album Kali ya Kundi la Hip hop Kama ile iliyokuwa na vichwa vitatu waliotengeneza Kundi linaitwa wachuja nafaka lakini pía walitengeneza album inayoitwa wachuja nafaka ilokuwa na nyimbo zifuatazo,
1.Wachuja nafaka
2.Mzee wa Busca
3.Ya Leo Kali
4. Radhia
5. Tunafanya kazi
6.Mzee busara rmx
7......
8......
9. Kamua Babá, hii haikuwa ktk album
Kundi hili lilikuwa na Juma, kr , dollo na d chief.
Sijui album nyingine za makundi, labda daz nundaz kidogo
Hard blasters (nigga jay, fanani na big willy) album iliitwa funga kazi. Ilikuwa ya moto kweli kweli tafuta usikilize. Kulikuwa na nyimbo kali kama
1. Chemsha bongo
2. Funga kazi
3. Ma msap
Nikweli zipo nyingi kali ila nahisi uzi unataka album za kundi sio msanii binafsiMliocomment hapo juu katafuteni Album ya Daz Baba-Elimu Dunia msikilize nyimbo zote then ndio muandike mnachotaka kuandika.
Hapo sijataja Starehe ya Feruzi na a.k.a Mimi ya Ngwair!!
NB- Respect kwa P-Funk Majani!!