Album kali ya kusikiliza ukiwa na Mpenzi wako room au ghetto

Album kali ya kusikiliza ukiwa na Mpenzi wako room au ghetto

RoadLofa

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
1,509
Reaction score
3,313
Kati ya album ambayo unatakiwa kuisikiliza ukiwa na Mtoto mzuri Ghetto nakushauri uweke album ya Ed Sheeran -Divide umo ndani Albino kaimba mapenzi balaa yaani Mtoto atajikuta karopoka I love you na kapanda kitandani bila Kutumia nguvu.

Umo ndani Kuna mikwaju hatari sana kama vile
1. Perfect

2. Happier

3. Galway gal-

4.Shape of you

5. New man

6.Hearts don't break around here

7. What do I know?

8.How would you feel

9.Barcelona

10.Bibia Be ye ye

11.Nancy Mulligan

12.Save myself

13. Dive

14.Castle on the hill

15.Eraser

Ushauri: kama demu wako ni Asha ndara ndefu we mwekee tu Chino wanna man aka makelele aka Amapiano
images (1).jpeg
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom