Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminaUjio wa Papa Paulo II nchini Tanzania mwaka 1990, daima utabakia katika historia ya Kanisa la Tanzania. Maana ulifana mpaka ulipitiliza. Nashukuru nilifanikiwa kuona mkanda wa video yake kwa wakati huo. Hakika waumini waliohudhuria ile misa iliyoendeshwa na Papa mwenyewe, walipata baraka za kipekee.
Watunzi wetu mbalimbali walitunga nyimbo kali na ambazo mpaka leo bado zinaendelea kutubariki. I wish akitokea Papa mwingine aje kuitembelea tena nchi yetu.