Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Certified sijaiskilza kwa kutulia nimemulika kwa verse chorus kwa kila ngomaUmesikiliza CLB??
Album ya 'Donda' ya rapa Kanye West imeshika nafasi ya #1 katika chati za mauzo ya album nchini Uingereza baada ya kuuza kopi 20000 ktk wiki ya kwanza sokoni, asilimia 91 ni mauzo ya mtandaoni na asilimia 9 ni Downloads.
-
Ktk wiki ya kwanza Donda imesikilizwa mara milioni 33.4, hii ni album ya 10 ya Kanye West na ya tatu kushika nafasi ya kwanza Uingereza.
Well said chiefKanye West anastahili.
Ana kipaji na zaidi ana AKILI NYINGI SANA (GENIUS) kwa wanaoelewa wataelewa.
Kwa wasiolewa hawatelewa kamwe.
Hata Kardashians hawakumwelewa!
Mdadvue vizuri boss natamani kumjua zaidiKanye West anastahili.
Ana kipaji na zaidi ana AKILI NYINGI SANA (GENIUS) kwa wanaoelewa wataelewa.
Kwa wasiolewa hawatelewa kamwe.
Hata Kardashians hawakumwelewa!
the guy speak madini sanaa, Conscious Shit ........Album ya 'Donda' ya rapa Kanye West imeshika nafasi ya #1 katika chati za mauzo ya album nchini Uingereza baada ya kuuza kopi 20000 ktk wiki ya kwanza sokoni, asilimia 91 ni mauzo ya mtandaoni na asilimia 9 ni Downloads.
-
Ktk wiki ya kwanza Donda imesikilizwa mara milioni 33.4, hii ni album ya 10 ya Kanye West na ya tatu kushika nafasi ya kwanza Uingereza.
The only track that I can't listen is Donda chant, but all songs are my favoritethe guy speak madini sanaa, Conscious Shit ........
The album is a bomb chief what song is your favorite in therePer day naisikiliza hiyo album kama mara 5 hivi via boomplay.
YE anastahili na atauza zaidi ya hapo.
Aisee favorites zinaongezeka kila napozidi kusikiliza: it was Jail, God Breathed and Offf ride. Now nasikiliza zaidi Keep My spirit alive, Remote control na Jesus Lord bila kusahu Donda yenyewe.The album is a bomb chief what song is your favorite in there
Album ya moto sana chief hata mi kila ninaposikiliza naongeza list ya favorite Ila for now:Believe what I say, OK ok,Hurricane, Junya and the list goes onAisee favorites zinaongezeka kila napozidi kusikiliza: it was Jail, God Breathed and Offf ride. Now nasikiliza zaidi Keep My spirit alive, Remote control na Jesus Lord bila kusahu Donda yenyewe.
Congratulations to him na shukran kwa update mkuu seems like I was little lateAlbum imefikisha stream billion 1 kwenye platform zote
DONDA Ya Kanye West ndio album yenye mafanikio zaidi mwaka 2021 ikiwa imesikilizwa zaidi ya mara milioni 775 ulimwenguni kote, imeshika nafasi ya kwanza kwenye chati za album bora katika nchi 11 zikiwemo Marekani, Uingereza, Australia na kwa mara ya kwanza nchini Ufaransa, Italia na Sweden. Hii ni hesabu inayoongezeka kila baada ya muda kutoka Platforms tofauti.
-
DONDA imeweka rekodi mpya ktk Apple Music kwa kuwa album Number 1 kusikilizwa katika nchi 152, Donda ilitoka August 29.
#SamMisagoTV
Album imefikisha stream billion 1 kwenye platform zote
SureKanye West anastahili.
Ana kipaji na zaidi ana AKILI NYINGI SANA (GENIUS) kwa wanaoelewa wataelewa.
Kwa wasiolewa hawatelewa kamwe.
Hata Kardashians hawakumwelewa!
Champagnee tupe update na umesikiliza album yako? What's your favorite in there?Kwa kanye ni bad, subirien updates za CLB