Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Aug 13, 2020 #1 Tulipitia mabadiliko katika pesa ya kikokotoo. TRA akawa msiba wa samaki katika koo kwenye biashara zetu. Speaker alivyotaharuki baadaya Zitto kuzuia mkopo wa elimu usije Tanzania. Bunge letu lilikosa meno kabisa. Serikali ya CCM na ripoti ya CAG hatimae CAG aliachia ofisi.
Tulipitia mabadiliko katika pesa ya kikokotoo. TRA akawa msiba wa samaki katika koo kwenye biashara zetu. Speaker alivyotaharuki baadaya Zitto kuzuia mkopo wa elimu usije Tanzania. Bunge letu lilikosa meno kabisa. Serikali ya CCM na ripoti ya CAG hatimae CAG aliachia ofisi.