Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
umenkumbusha mbali sana moja ya best album za hip hop tz
ULIMWENGU NDIO MAMA ya JAY MO ndio mpango mzima.
Thinking alike. MWANAFALSAFAA, SHOW TIME,HATURAP,SITOMKA,.............yule ndio alikuwa Mwanafalsafa.Album Mwanafalsafani tu zingine zote kambwela mbwela tu
ulimchek kule twita kumuulza as you promised yday?umenkumbusha mbali sana moja ya best album za hip hop tz
nilikuwa nazo aisee ilikuwa balaaWadau wapi ntapata hzi nyimbo znazopatikana kwny album ya unanitega ya fa .maana nimechek waptrick nimekosa
verse moja feat dudu
mtoto wa mama ft unique sisterz
siendi club ft jmo
siku hazfanani ft zahir zoro
kuna nyingne aliimba na prezoo na colo
Umezipata?nilikuwa nazo aisee ilikuwa balaa
Nammiss F.A wa zamani.Ngoja nikamuulize twitter jamaa alitisha sana anakuambia naonekana mtoto wa mama,ukinitazama.anakuambia kama jua na kiangazi siku hazifanani.Kipindi kile alikuwa mwanafalsafa kweli sio wa sasa bila kukunjagoti.
HazipoNenda youtube,andika nyimbo kali 100 za kibongo utaziona
sa hv bado enzi hizo ....hapacd sijui kama zipo sijatafutaUmezipata?